Ubongo Kids Webisode 28 - Siri ya Hazina - Urefu na Umbali

Published: 14 July 2015
on channel: Ubongo Kids Kiswahili
5,079,191
8.3k

Angalia webisode za Ubongo Kids hapa hapa!

Ubongo Kids Webisode 28 - "Siri ya Hazina" - the Tanzanian animated cartoon series as seen on TBC1!

Jifunza kuhusu vipimo vya urefu na umbali kupitia episode hii ya Ubongo Kids, Africa's clever new cartoon!

Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: http://www.ubongokids.com

Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1.

http://ubongokids.com
   / ubongokids  
  / ubongokids  
  / ubongotz  

An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.